eGA
Federal · Tanzania · 11-50 Employees
View Company Info for Free
Overview
Headquarters
2833 Mtandao St, Mtumba, TanzaniaPhone Number
+255 262961957Website
ega.go.tzRevenue
<$5 MillionIndustry
About eGA
Mfumo wa Vibali vya Kusafiria ni mfumo wa kimtandao unaojiendesha wenyewe uliotengenezwa kwa ajili ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwawezesha waajiriwa wa Serikali na watumishi wote wa Umma kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi kwa safari binafsi au za kikazi kwa mtu binafsi au kikundi. Mfumo wa Usimamizi wa Mafunzo na Semina (TSMS) umetengenezwa kwa ajili ya utunzaji kumbukumbu, kutoa taarifa za mafunzo na kufuatilia taarifa za wakurufunzi na wakufunzi zinazohusu mafunzo, semina, warsha,mikutano ya mwaka na vikao vya bidhaa na huduma za Mamlaka ya Serikali Mtandao. Tovuti Kuu ya Serikali ni kituo kimoja cha upatikanaji wa taarifa na huduma zinazotolewa na Taasisi za Ummaa. Maudhui ya tovuti hii yapo katika lugha za Kiswahili na Kiingereza na yamegawanyika kwenye sehemu saba ambazo ni: Serikali, Wananchi, Taifa Letu, Biashara, Mambo ya Nje, Matangazo na Nifanyeje. Wananchi wanaweza kupata nyaraka zenye maudhui mbalimbali ikiwemo fomu, wasifu za viongozi na kupitiaRead more
SIC Code 91,919NAICS Code 92,921Show moreeGA Org Chart
eGA Tech Stack
Top Federal Companies
Top companies in Canada by revenue
Frequently Asked Questions Regarding eGA
Sign Up For FreeTo access detailed company insights
Mfumo wa Vibali vya Kusafiria ni mfumo wa kimtandao unaojiendesha wenyewe uliotengenezwa kwa ajili ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwawezesha waajiriwa wa Serikali na watumishi wote wa Umma kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi kwa safari binafsi au za kikazi kwa mtu binafsi au kikundi. Mfumo wa Usimamizi wa Mafunzo na Semina (... Read More